Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Matukio ya ajali za barabarani mwanzoni na mwishoni mwa mwaka katika mataifa ya afrika

Imechapishwa:

karibu mskilizaji wetu kuambatana nami mwanzo hadit amati wa Makala haya, ya Habari rafiki ambapo leo tunazungumzia kuhusuAjali mbaya za barabarani zilizoshudiwa Mwanzoni mwa mwaka huu katika mataifa kadhaa ikiwemo Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda na Senegal, matukio ambayo pia yameshuhudiwa mwishoni mwa mwaka uliopita, ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha.Unafikiri nini chanzo cha ajili hizi za mwisho na mwanzoni mwa mwaka?Nini kifanyike kuepukana na ajali za aina hii?

Mtazamo wa jumla wa ajali ya barabarani kufuatia kugongana kwa mabasi mawili, Januari 8, 2023, katika eneo la Sikio, idara ya Kaffrine, nchini Senegal.
Mtazamo wa jumla wa ajali ya barabarani kufuatia kugongana kwa mabasi mawili, Januari 8, 2023, katika eneo la Sikio, idara ya Kaffrine, nchini Senegal. AFP - CHEIKH DIENG
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.