Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

HABARI RAFIKI 22.12.2022 KUHUSU MATUKIO YA WATU KUTOLEWA VIUNGO VYA MWILI

Imechapishwa:

Nchini Kenya, watu wasiojulikana walimtoa macho mtoto wa miaka mitatu kwa kisa kilichohusishwa na ushirikina.Matukio kama haya pia yameripotiwa katika baadhi ya mataifa Afrika, wahusika wakidaiwa kufanya hivyo kama njia moja ya kutafuta utajiri.Tumetaka kujuwa kwako iwapo Hapo kwenu matukio kama haya hutokea? Baadhi wamehusisha visa hivi na utajiri, unadhani ni kweli? Naitwa Hillary Ingati

Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC.
Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC. fr.wikipedia.org
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.