Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wabunge wa Afrika Kusini washindwa kumuondoa Cyril Ramaphosa madarakani.

Imechapishwa:

Bunge la Afrika Kusini hapo jana halikumuondoa  Rais Ramaphosa madarakani japo anashutumiwa kwa kuficha karibu dola milioni moja katika shamba lake la kibinafsi.Tumekuuliza unadhani Rais ramaphosa anafaa kujiuzulu? na Je, unaamini kuwa Bunge la Afrika Kusini lilikuwa sahihi katika uamuzi wake?Sikiliza baadhi ya maoni ya wasikilizaji wa rfi kiswahili

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa AP - Themba Hadebe
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.