Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

M 23 na Jeshi la DRC watakiwa kusitisha mapigano siku ya Ijumaa

Imechapishwa:

Rais wa Angola alikutana naye rais wa DRC Felix Tshisekedi na Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda jijini Luanda siku ya Alhamisi na kukubaliana kuwa waasi wa M 23 na jeshi la DRC wasitishe mapigano siku ya Ijumaa kuanzia saa 12 jioni.Je unaamini waasi wa M23 wataheshimu uamuzi wa viongozi hao ? 

Viongozi wa ukanda waliokutana jijini Luanda nchini Angola, Novemba 23 2022 kujadili hali ya usalama Mashariki mwa DRC
Viongozi wa ukanda waliokutana jijini Luanda nchini Angola, Novemba 23 2022 kujadili hali ya usalama Mashariki mwa DRC © AFPTV
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.