Habari RFI-Ki
Mataifa tajiri katika Mkutano wa COP27 uliofanyika Misri wakubaliana kusaidia nchi zinazoendelea.
Imechapishwa:
Cheza - 09:54
Mkutano kuhusu hali ya hewa umekamilika nchini Misri huku mataifa yakikubaliana kuzifidia nchi maskini zilizoathirika kiuchumi kutokana na hali mbaya ya hewa.Mkutano kuhusu hali ya hewa umekamilika nchini Misri huku mataifa yakikubaliana kuzifidia nchi maskini zilizoathirika kiuchumi kutokana na hali mbaya ya hewa.