Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

DRC : Mashirika ya kiraia yasitisha ushirikiano na MONUSCO

Imechapishwa:

Mashirika ya kiraia kwenye miji ya Beni, Butembo na Lubero nchini DRC yametangaza kusitisha ushirikiano na tume ya umoja wa mataifa ya kulinda amani MONUSCO.Unafikiri yanafaa kuungana na wanasiasa au yabakie huru kuamua? Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC
Maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC © Glody Murhabazi/Agence France-Presse
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.