Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu ajali za barabarani

Imechapishwa:

Visa vya ajali za barabarani vimeendelea kuripotiwa katika mataifa ya Africa Mashariki kisa cha hivi punde kikiwa nchini Kenya, ambapo zaidi ya watu 34 wamefarki kutokana na hali mbaya ya barabara.Nini Kifanyike kuzuia ajali za barabarani Africa mashariki ?Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

Ajali ya basi la kampuni ya Mordern Coast nchini kenya iliyotokea katika kaunti ya Tharaka Nithi, 24 07 2022.
Ajali ya basi la kampuni ya Mordern Coast nchini kenya iliyotokea katika kaunti ya Tharaka Nithi, 24 07 2022. © Daily Nation
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.