Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wafanyakazi nchini Kenya wapata nyongeza ya mshahara

Imechapishwa:

Wakati dunia ikiaadhimisha siku ya wafanyakazi duniani, nchini kenya rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ametangaza ntongeza ya asilimiua 12 ya mshahara huku hali ikiendelea kuwa ngumu sio tu nchini humo na mataifa mengine ya Afrika mashariki.Hali ipo je nchini mwako? serikali zenu zinafanyaje kutatua kero ya ugumu wa maisha?

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.