Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu msimu wa Ramadhani unapoanza

Imechapishwa:

Msimu wa Ramadhani ndio umeanza huku kukiwa na hali ya kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu na uhaba. Hali hii haionekani tu barani Afrika bali ulimwenguni, na kulazimisha familia kupunguza baadhi ya matumizi katika msimu huu.Je, unaipangaje bajeti yako ya mwezi wa Ramadhani ?Hali ya Ramadhani ipoje katika nchi yako?

Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waanza kwa Waislamu. Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kusoma sana Q'uran.
Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waanza kwa Waislamu. Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa kusoma sana Q'uran. © SIMON MAINA / AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.