Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ashambuliwa kwa mawe

Imechapishwa:

Wikiendi iliopita ujumbe wa mgombea urais nchini Kenya Raila Odinga ulishambuliwa kwa mawe, huku Helikopta yake ikiharibiwa, tukio ambalo limeshutumiwa na pande mbalimbali za siasa nchini humo, unaomani gani kuhusu tukio hili ? Unafkiri nini kifanyike kuhakikisha kampeni za amani wakati wa uchaguzi.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.