Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Shule zafunguliwa tena nchini Uganda baada ya miaka miwili

Imechapishwa:

Mamlaka nchini Uganda zinasema, huenda asilimia 30 ya wanafunzi wakashindwa kurejea shuleni, siku moja tangu kufunguliwa kwa shule baada ya karibu miaka miwili kuwa zimefungwa kutokana na janga la Corona.Nini kifanyike kwa wanafunzi Hawa kurejelea masomo?Unadhani ilikuwa sahihi Serikali kuzifunga shule?Hali ikoje nchini mwako?

Wanafunzi nchini Uganda
Wanafunzi nchini Uganda Kimberly Burns, USAID/CC/Pixnio
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.