Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Askofu Mkuu Desmond Tutu afariki dunia

Imechapishwa:

Mwanaharakati aliyepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, na pia kuwa Askofu Mkuu wa kanisa Anglikana, Desmond Tutu, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.Tutu alisifika kutetea haki za binadamu na maridhiano kwenye taifa lake.Msikilizaji unamkumbuka Desmond Tutu kwa lipi ?Nini kifanyike kumuenzi ?

Askofu Mkuu wa Kanisa Angilikana nchin Afrika Kusini Desmond Tutu na mwanaharakati wa kupambana na ubaguzi wa rangu
Askofu Mkuu wa Kanisa Angilikana nchin Afrika Kusini Desmond Tutu na mwanaharakati wa kupambana na ubaguzi wa rangu © Gallo Images via Getty Images - Gallo Images
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.