Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aambukizwa Covid 19

Imechapishwa:

Kwa majuma kadhaa sasa virusi vipya vya Omicron, vimeendelea kuripotiwa katika nchi mbalimbali duniani viongozi wakiwataka raia kuchoma dozi ya tatu ya chanjo, dhidi ya virusi hivyo ili kuongeza kinga, haya yakijiri huku Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akithibitishwa kuambukizwa Covid 19 licha ya kukamilisha dozi zote mbili.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Sumaya HISHAM POOL/AFP
Matangazo ya kibiashara

Hali ya maambukizi ikoje katika nchi yako?

Nini kifanyike kudhibiti kuenea zaidi kwa kirusi hiki kipya?

Tutumie maoni ya sauti kwenda namba yetu ya whatsapp, ukianza na +254 110 000 420

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.