Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kirusi cha Omicron chaendelea kusambaa barani Afrika

Imechapishwa:

Kirusi kipya cha covid 19 Omicron, kinaenea kwa kasi duniani na sasa kimeripotiwa kwenye mataifa ya Kenya, Uganda, Rwanda na DRC.Unafanya nini kuepuka kuambukizwa ?Unatarajia hatua gani nchini mwako kukabiliana na kirusi hiki ?Tume maoni yako ya sauti kwenda namba yetu ya watsup +254 110 000 420.

Kirusi cha Omicron
Kirusi cha Omicron © Internet
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.