Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Burundi yawataka wafanyakazi wa serikali kuhalalisha ndoa zao

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya serikali ya Burundi kuwataka wafanyikazi wa umma wanaoishi  kwenye maisha ya kimapenzi bila kufunga ama kuhalalisha ndoa, kusimamishwa kazi hadi pale watakapohakikisha ndoa zao zinahalalishwa.Hatua hii imezua mjadala mkubwa nchini humo.

Rais wa Burundi  Évariste Ndayishimiye
Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye AP - Berthier Mugiraneza
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.