Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais Museveni apendekeza kurejeshwa adhabu ya kifo

Imechapishwa:

Wataalamu wa sheria nchini Uganda wamekosoa matamshi ya rais Yoweri Museveni ambaye amependekeza kuondolewa kwa haki ya dhamana na kurejesha kwa adhabu ya Kifo dhidi ya washukiwa wa Mauaji. Swali kwa wasikilizaji wetu ni je? adhabu ya kifo ni sahihi kutekelezwa kwa ashukiwa wa mauaji ? Kwenye Nchi yako adhabu hii inatekelezwa ?

Yoweri Museveni, rais wa Uganda pale alipotangaza kuwania kwa muhula wa sita.
Yoweri Museveni, rais wa Uganda pale alipotangaza kuwania kwa muhula wa sita. © RFI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.