Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Waasi kuwateka watoto na baadaye kuitisha pesa

Imechapishwa:

Makundi ya waasi hapa Afrika yamekuwa yakiwateka watoto na baadaye kuitisha kiasi fulani cha pesa kabla ya kuwaachilia huru , kisa cha hivi punde kikifanyika nchini DRC.Unadhani nini kinachochea makundi haya kuwateka nyara watoto ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Ugandan soldiers near the border with DRC following a battle with ADF rebels in March 2007.
Ugandan soldiers near the border with DRC following a battle with ADF rebels in March 2007. Photo: AFP Photo/Peter Busomoke
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.