Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Changamoto ya upatikanaji wa chanjo ya Covid 19 barani Afrika

Imechapishwa:

Kwa mara nyingine viongozi wa Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kuondoa haki miliki katika utengenezaji wa chanjo ya Covid 19 wakati huu wakilalama kutokuwepo na usawa .Unaamini wito wao utasababisha kupata dozi zaidi ?Unafikiri kwa nini bara la Afrika limechoma idadi ndogo zaidi ya chanjo na hali ikoje kwenye nchi yako ?Tutumie maoni yako kwenda namba yetu ya watsapp ukianza na +254 110 000 420

Chanjo aina ya  AstraZeneca
Chanjo aina ya AstraZeneca Geoff Caddick AFP/Archivos
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.