Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Covid 19: Kusambaa kwa kirusi aina ya Delta barani Afrika

Imechapishwa:

Wakati huu kirusi kipya cha delta kikisambaa kwa kasi duniani, nchi za Kenya na Tanzania zimeonya kuhusu kuongezeka kwa idadi ya wangonjwa wanaolazwa hospitalini.Hali ikoje nchini mwako? Je unafuata masharti ya kijikinga dhidi ya virusi vya corona?

Mgonjwa wa Corona nchini Senegal moja ya taifa linalosumbuliwa na aina mpya ya kirusi Delta
Mgonjwa wa Corona nchini Senegal moja ya taifa linalosumbuliwa na aina mpya ya kirusi Delta Seyllou, SEYLLOU AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.