Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tutarajie nini baada ya mkutano kati ya rais wa Rwanda na mwenzake wa DRC

Imechapishwa:

Mwishoni mwa juma lililopita rais wa Rwanda na mwenzake wa DRC walikutana katika mpaka wa nchi zao na kukubaliana kuimarisha ushirikiano wao ambao kwa miaka kadhaa ulikuwa sio mzuri.Tutarajie nini kikubwa kutokana na mazungumzo yao? Unafikiri utasaidia kumaliza machafuko mashariki mwa DRC.haya hapa baadhi ya maoni yako.

Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kushoto na mwenzake wa Rwanda Paul Kageme Kulia
Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kushoto na mwenzake wa Rwanda Paul Kageme Kulia © AFP - SIMON WOHLFAHRT
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.