Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Usalama mashariki mwa DRC bado ni tete licha ya uongozi wa jeshi

Imechapishwa:

 mwezi moja umepita tangu serikali ya DRC ,itangaze hali ya dharura,kwenye majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri ,lakini licha ya tangazo hilo na operesheni za kijeshi ,mamia ya raia wameendelea kuwauwa na makundi ya waasi.Unazungumziaje hali hii ?Unadhani jeshi linafanyavya kutosha kumaliza mashambulizi haya ?

Hali inayowakumba wakaazi wa mashariki mwa DRC, filamu iliyochezwa kuonyesha madhila wanayokabiliana nayo raia wa DRC, mashariki mwa nchi.
Hali inayowakumba wakaazi wa mashariki mwa DRC, filamu iliyochezwa kuonyesha madhila wanayokabiliana nayo raia wa DRC, mashariki mwa nchi. © Reuters
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.