Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wasikilizaji wa RFI Kiswahili wazungumzia mada huru

Imechapishwa:

Kila ijumaa tunakupa nafasi ya kujieleza katika makala ya Habari rafiki na wengi baadhi yenu mmezungumzia kuhusu kwa nini mauaji yanaendelea mashariki mwa jamhuri a kidemokrasia ya Congo huku Mkiitaka serikali kuchukua hatua ili kumaliza na kuyatokomeza makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo.

Wakuu wa DRC katika mkowa wa Kivu Kaskazini wakiwalazimisha wananchi kuondoka mjini Goma baada ya kuthibitisha uwezekano wa kutokea kwa mlipuko wa pili wa mlima wa Volkano wa Nyiragongo,
Wakuu wa DRC katika mkowa wa Kivu Kaskazini wakiwalazimisha wananchi kuondoka mjini Goma baada ya kuthibitisha uwezekano wa kutokea kwa mlipuko wa pili wa mlima wa Volkano wa Nyiragongo, AFP - GUERCHOM NDEBO
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.