Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya msikilizaji kuhusu gharama ya mtandao

Imechapishwa:

Taifa la Tanzania limeendelea kuongoza kwa mwaka pili sasa kuwa la kwanza Afrika mashariki kwa matumizi ya chini sana ya internet, ikichukuwa nafasi ya Somalia ambayo kwa sasa ni ya 3. Haya ni kwa mjibu wa takwimu iliyotolewa hivi karibuni na kampuni ya utafiti ya teknolojia ya Uingereza.Kwenye makala haya msikilizaji anatoa maoni kuhusu gharama ya mtandao katika taifa lake.

mitandao ya kijamii
mitandao ya kijamii AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.