Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Utamkumbuka vipi rais wa Chad Idriss Deby ?

Imechapishwa:

Wananchi wa Chad wanaomboleza kifo cha rais wao Idriss Deby ambaye alifariki mapema jana kutokana na majeraha aliyopata wakati wakiongoza wanajeshi wake kupambana na wanajihadi kaskazini mwa taifa hilo.Unazungumziaje hali ya usalama katika eneo la Sahel? Unadhani nini kifaniyike ili kuimarisha usalama katika eneo hilo ?

Aliyekuwa rais wa Chad  Idriss Déby
Aliyekuwa rais wa Chad Idriss Déby AP - Ludovic Marin
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.