Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hali ya utoaji wa chanjo barani Afrika

Imechapishwa:

Barani Afrika,ni  asilimia 2 peke ya chanjo ya Covid -19 imetolewa kote duniani, Bara Afrika lingali linasalia nyuma katika kampeni ya utoaji chanjo ya covid 19. Unazungumziaje kasi ndogo ya upatakanaji wa chanjo barani Afrika ?Nini kifanyike taswira hii ibadilike?

Mhudumu wa afya akipata chanjo dhidi ya virusi vya Corona nchini São Tomé e Príncipe
Mhudumu wa afya akipata chanjo dhidi ya virusi vya Corona nchini São Tomé e Príncipe AFP - EBRAHIM HAMID
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.