Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Uganda na Tanzania zatiliana saini kujenga bomba la mafuta

Imechapishwa:

Mataifa ya Tanzania na Uganda,yametiliana saini mkataba wa ujenzi wa bomba la usafirishaji wa mafuta ghafi.Nini maoni yako kuhusu hatua hii ? Na unadhani ujenzi huo utatengeza ajira ? Au utumike vipi kuleta nafasi za Kazi kwa wanaichi wa mataifa hayo ?

Kampuni ya mafuta ya Ufaransa Total, inayoshiriki kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima mpaka Bandari ya Tanga nchini Tanzania
Kampuni ya mafuta ya Ufaransa Total, inayoshiriki kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima mpaka Bandari ya Tanga nchini Tanzania AFP - YASUYOSHI CHIBA
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.