Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Burundi kupitia upya mikataba ya madini

Imechapishwa:

Tunaangazia juu ya hatua ya Serikali ya Burundi kupitia upya mikataba ya madini lengo ikiwa ni madini ya nchi hiyo kunufaisha pande zote yaani Burundi na muwekezaji. KWa mjibu wa serikali ya Burundi, kwa sasa taifa hilo linanufaika na pato la madini aslimia 10% -15% na Burundi ingependa kiwango zaidi.

Rais wa Burundi  Evariste Ndayishimiye aliyeahidi mwamko mpya baada ya kuingia madarakani mwaka 2020
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye aliyeahidi mwamko mpya baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 AFP/File
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.