Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Utunzaji wa mazingira nchini Tanzania

Imechapishwa:

Leo tunaangazia  changamoto za utunzaji mazingira nchini Tanzania, tukijikita huko mkoani Kigoma magharibi mwa nchi hiyo. Kama baadhi ya wadau wa mazingira walioko wilayani Kibondo watakavyobainisha, kwasasa mazingira yanaharibiwa kwa kiwango kikubwa na kupelekea wadau kuweka wazi kilio chao.

Msitu
Msitu JOSEPH EID AFP
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.