Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wahamiaji Haramu kutoka Barani Afrika waendelea kuwa waathirika wa ajali za meli zinazochangia vifo vyao katika Pwani ya Italia

Imechapishwa:

Wahamiaji Haramu wanaokadiriwa kufikia mia tatu kutoka Eritrea, Somalia na Ghana wanatajwa kupoteza maisha wakiwa jirani kabisa na Kisiwa cha Lampedusa karibu na Nchi ya Italia baada ya boti waliyokuwa wanasafiria kushika moto na kisha kuzama. Vifo hivi vya wahamiaji haramu ni muendelezo wa matukio mengine mengi ya wahamiaji wanopoteza maisha kila uchao wakiwa njiani kueleka Mataifa ya Ulaya kwa ajili ya kutafuta maisha bora!!

Miili ya wahamiaji haramu kutoka Barani Afrika waliofikwa na umauti wakikaribia Kisiwa cha Lampedusa
Miili ya wahamiaji haramu kutoka Barani Afrika waliofikwa na umauti wakikaribia Kisiwa cha Lampedusa REUTERS/Nino Randazzo
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.