Afya ya Nelson Mandela yaendelea kuimarika baada ya majuma matatu kulazwa Hospital huku Marekani ikiendelea kumsaka Mfanyakazi wa zamani wa CIA Edward Snowden
Imechapishwa:
Cheza - 21:18
Hali ya Afya ya Rais wa Kwanza Mzalendo na Mpambanaji wa Ubaguzi kwa Mtu Mweusi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela maarufu kama Mzee Madiba inaendelea kuimarika kipindi hiki akiwa Hospital kwa juma la tatu akisumbuliwa na maradhi ya mapafu, Marekani inaendelea kuhaha kuhakikisha inamkamata Mfanyakazi wa zamani wa Shirika la Kijasusi la CIA ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kuvujisha siri za shirika hilo na Siasa nchini Australia zimechukua sura mpya baada ya Julia Gillard kushindwa kwenye Uchaguzi wa Chama Tawala Cha Labour hatua iliyomfanya atangaze kuachana na siasa na hatua yake ua Uwaziri Mkuu kuchukuliwa na Kevin Rudd!!