Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mvutano juu ya eneo halali la mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa waendelea kutafutiwa suluhu

Imechapishwa:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea kusisitiza mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa na majirani zao wa Malawi utasuluhishwa kwa njia ya mazungumzo na amewaondoa hofu wananchi wanaoishi nje ya nchi kutokuwa na wasiwasi wowote ju ya hilo!!

Muonekano wa Pwani ya Ziwa Nyasa eneo ambalo limekuwa likizua mvutano wa mipaka baina ya Tanzania na Malawi
Muonekano wa Pwani ya Ziwa Nyasa eneo ambalo limekuwa likizua mvutano wa mipaka baina ya Tanzania na Malawi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.