Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wananchi wa Ghana waendeleza kuomboleza kifo cha Rais Atta Mills huku Mahakama Kuu ya Mombasa ikilihalalisha Kundi la MRC

Imechapishwa:

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC waendelea kushuhudia mashambulizi katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo yakiongozwa na Kundi la Waasi la M23, Mahakama Kuu Kitengo cha Mombasa nchini Kenya yahalalisha Kundi la MRC ambalo lilikuwa linatajwa kutaka kujitenga kwa Pwani, Viongozi Mahasimu wa Madagascar Rais Andry Rajoelina na Marc Ravalomanana wakutaka kwa mara ya kwanza huko Ushelisheli, Wananchi wa Ghana waendelea na maombolezo ya kifo cha Rais wake John Atta Mills na Syria yaendelea kushuhudia mashambulizi baina ya Wapiganaji wa Waasi na Wanajeshi wa Serikali huko Aleppo.

Rais wa zamani wa Ghana Marehemu John Atta Mills ambaye amefariki dunia mapema juma hili kwa maradhi ya saratani ya koo
Rais wa zamani wa Ghana Marehemu John Atta Mills ambaye amefariki dunia mapema juma hili kwa maradhi ya saratani ya koo REUTERS/Joshua Roberts
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.