Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ajali ya kuzama kwa Meli yazua simanzi nchini Tanzania huku watu zaidi wakiendelea kusakwa

Imechapishwa:

Nchini Tanzania wingu la simanzi na majozni limetanda baada ya kutokea kwa ajali ya meli iliyokuwa inaelekea Kisiwani Zanzibar ikitokea Dar Es Salaam, nchi za Afrika zajiapiza kuhakikisha zinamaliza ugonjwa wa malaria kabla ya kufika mwaka elfu mbili na kumi na tano, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yaomba Jeshi linalolinda Amani la MONUSCO kupambana na waasi waliopo Mashariki na Waasi nchini Syria waendelea kuipa wakati mgumu serikali kwa kufanya mashambulizi kwenye Jiji la Damascus.

Maafisa wa uokoaji wakibeba manusura wa ajali ya meli visiwani Zanzibar
Maafisa wa uokoaji wakibeba manusura wa ajali ya meli visiwani Zanzibar
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.