Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kuwaua washukiwa wa ugaidi mjini Mombasa nchini Kenya

Imechapishwa:

Makala haya ya “Habari Rafiki”, inaangazia juu ya hatua ya afisa wa polisi, ambaye ni mkuu wa polisi katika kaunti ya Mombasa kuamuru askari polisi kuwaiga risase washukiwa wa kigaidi, baada ya watu wanaodaiwa kuwa magaidi kushambulia kanisa moja huko Mombasa, na kuua watu 6.Ungana na Ebby Shabani Abdallah................................ 

Hali  iliyotokea katika jengo la kibiashara la Westgate nchini Kenya.
Hali iliyotokea katika jengo la kibiashara la Westgate nchini Kenya. RFI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.