Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Maisha ya watu wa Gulu, Uganda na mabadiliko yake baada ya vita

Imechapishwa:

Uganda ni miongoni mwa nchi ambazo zimepitia mazingira ya vita kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi. Ukiangalia vita vya ndani Uganda ilikabiliana vikali na waasi wa LRA wakiongozwa na Joseph Kony. Baada ya vita hivyo, maisha ya wananchi wa Uganda yalibadilika. Katika Makala ya Afrika Mashariki leo hii tunaangazia maisha mapya ya wananchi wa huko Gulu, Uganda.

Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46.
Makala ya Afrika Mashariki, ni moja ya Makala ambayo inakukusanyia matukio na mambo mbalimbali yanayojiri kwenye ukanda, na inaruka kila siku za Jumanne jioni saa 12:20 na marudio Jumatano asubuhu saa 1:46. © EAC.int
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.