Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Chama cha Mapinduzi chapata safu mpya ya uongozi mpya nchini Tanzania huku kikikabiliwa na changamoto nyingi

Imechapishwa:

Chama cha Mapinduzi ambacho ni chama tawala nchini Tanzania kimepata safu mpya ya uongozi huku kikikabiliwa na changamoto nyingi za kuykabiliana na hali ya kisiasa nchini humo. Makala ya Wimbi la Siasa hii leo inajikita kuangazia mkutano mkuu wa CCM uliomalizika hivi karibuni na kupata safu mpya uongozi. Je safu hiyo ikiwa chini uenyekiti wa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete itamudu mikiki mikiki ya siasa na hasa kuelea uchaguzi mkuuu wa 2015? Fuatilia makala haya.................

RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.