Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

ZANZIBAR-KENYA-MOMBASA NA HARAKATI ZA KUJITENGA

Imechapishwa:

Waswahili husema, umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, hali ni tofauti kwa makundi ya MRC huko Mombasa na Uamsho Visiwani Zanzibar yanataka sehemu zao zijitenge kutoka katika nchi za Kenya na Tanzania. Fuatilia makala haya ya Wimbi la Siasa kujua kwa undani wa suala hilo.

RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.