Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Milipuko ya maghala ya silaha kwenye nchi za Afrika na udhibiti wa majanga kama hayo

Imechapishwa:

Mtangazaji wa habari rafiki hii leo ameangazia milipuko ya silaha iliyotokea kule Congo Brazaville ambako zaidi ya watu mia moja na hamsini walipoteza maisha, mtangazaji anaangalia ni kwanini matukio haya yamekuwa yakitokea mara kwa mara na kukosa udhibiti wa kutosha kuzua madhara zaidi kwa wananchi.

Moshi ukitanda nchini Congo Brazaville aneo ambalo kulitokea mlipuko wa ghala la silaha
Moshi ukitanda nchini Congo Brazaville aneo ambalo kulitokea mlipuko wa ghala la silaha Reuters
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.