Habari RFI-Ki
Nchi za Afrika zinawakumbukaje mashujaa waliopigania Uhuru
Imechapishwa:
Cheza - 09:31
Mtangazaji wa habari rafiki jumatatu hii ameangazia ni kwa jinsi gani viongozi wa Afrika wanawaenzi mashujaa waliopigana vita kusaka uhuru wa mataifa yao.