Pata taarifa kuu
RWANDA - AFYA

Rwanda  yatangaza masharti mapya ya kudhibiti Covid - 19

Serikali ya Rwanda imetangaza mikakati mipya ya kupambana na Covid 19, Shule zote zimefungwa na wafanyakazi wote wakitakiwa kufanya kufanya kazi wakiwa Nyumbani.

Mhudumu wa afya akitoa chanjo ya Covid 19 kwa raia nchini Rwanda machi 18 2021.
Mhudumu wa afya akitoa chanjo ya Covid 19 kwa raia nchini Rwanda machi 18 2021. © REUTERS/Jean Bizimana
Matangazo ya kibiashara

Mwandishi wetu wa Kigali Christopher Karenzi, ana maelezo zaidi katika ripoti yake .

              

01:27

Christopher Karenzi

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.