Pata taarifa kuu
DUNIA- UVIKO 19

WHO: Uviko 19 bado ni tishio kwa dunia

Shirika la afya duniani, WHO, linasema ugonjwa wa virusi vya Korona, bado ni tishio kwa dunia na unabakia kuwa janga la dharura kimataifa.

Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi wa WHO
Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi wa WHO REUTERS - DENIS BALIBOUSE
Matangazo ya kibiashara

Tedros Adhanom Ghebreyesus ni mkurugenzi wa WHO.

“Siku ya Ijuma kamati ya dharura iliketi kujadili kama janaga hili bado ni la dharura, kamati imenishauri kwamba kwa mtazamo wao uviko 19 bado ni janaga la dharura duniani.”ameeleza Tedros Adhanom Ghebreyesus.

Tamako la Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi wa WHO likija wakati huu mataifa ya duniani yakiendelea kukabiliwa na athari zinazotokana na janaga hilo ikiwemo kusambaratika kwa uchumi.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.