Pata taarifa kuu
UGANDA-DIPLOMASIA

Uganda yasema bajeti yake ya mwaka huu 2014 haitaathirika iwapo mataifa ya magharibi yatasitisha msaada

Serikali ya Uganda imesema Bajeti yake ya mwaka huu wa 2014 haitaathirika ikiwa Mataifa ya Magharibi yatasitisha misaada ya kifedha kutokana na hatua ya rais Yoweri Museveni kusaini mswada unaopiga marufuku mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Kampala inasema haitakuwa mara ya kwanza kwa Mataifa hayo kusitisha misaada.Mengi zaidi ni katika ripoti ya muandishi wetu wa Kampala Tony Singoro

Yoweri Kaguta Museveni rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni rais wa Uganda
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.