Pata taarifa kuu
KOREA-MAREKANI

Marekani yaridhia hatuwa ya Urusi na China kuishawishi Korea Kaskazini kubadili msimamo wake wa kuendeleza vitisho

Ikulu ya Marekani imepokea kwa mikono miwili hatua ya Urusi na China kuishawishi Korea kaskazini kubadili msimamo wake juu ya vitisho vya Mashambulizi dhidi ya Korea kusini na Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un
Matangazo ya kibiashara

Juma lililopita Marekani ilitaka China na Urusi kutumia nguvu iliyonayo kuhakikisha Pyongyang inaachana na kauli za vitisho na kutii sheria za kimataifa.

Akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi amesema kuwa China inaguswa na uhasama unaoendelea katika eneo la Peninsula ya Korea.

Kwa upande wake Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameonya kuwa mgogoro katika eneo la Peninsula ya Korea madhara yake yatakuwa makubwa kuliko janga la ajali ya Nuklia ya Chernobyl ya mwaka 1986.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.