Pata taarifa kuu
PAKISTAN

Rais wa Pakistan akiri nchi yake kuwa na upungufu wa nguvu za kupambana na ugaidi

Rais wa Pakistran Asif Ali Zardari anasema kuwa kuuawa kwa aliyekuwa gaidi wa kimatiafa Osama Bi Laden nchini mwake ni dhihirsho kuwa nchini yake haiwezi kupambana na ugaidi.

AFP
Matangazo ya kibiashara

Asif amesema kuwa, licha ya kuwa Pakistan haikuhusika moja kwa moja katika operesheni ya kumuaua Osama Ben Laden, taifa lake lilichangia kwa kiasi kikubwa kuhusu kupatikana kwa Osama ambaye aliuawa na majeshi ya Marekani kwa kupigwa risasi kichwani.
Naye Rais wa marekani Barack Obama akiwa Ikulu ya Marekani ameonyeshwa kwa njia ya video namna majeshi yake yalivyomuuaa Osama, na kusema kuwa sasa dunia imekuwa mahali salama na tulivu kuishi bila ya Osama.
John Brennan ni mshauri mkuu wa maswala ya ugaidi nchini Marekani na hapa anaeleza namna walivyofanikiwa kumuua Osama.  

Mshauri mkuu wa maswala ya Ugaidi.
00:43

John Brennan Mshauri wa Maswala ya ugaidi

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.