Pata taarifa kuu
Yemeni

Waandamanaji 26 wauawa nchini Yemeni

Waaandamanaji 26, wameuawa nchini Yemeni baaada ya kupigwa risasi na majeshi ya serikali katika mji wa Sanaa.

Waandamanaji nchini Yemen
Waandamanaji nchini Yemen REUTERS
Matangazo ya kibiashara

 

Wanejeshi hao waliwaua waandamnaji hao jana jumapili,na kuwajeruhi mamia wengeine,waliokuwa wakiandama kuoinga uongozi wa rais Ali Abdula Saleh amabye wanatakla ajiuzulu na kuruhusu mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

Hali ya wasiwasi imetanda,katika mji wa sanaa baada ya mauji hayo makubwa kuwahi kutokea kwa siku moja nchini humo tangu maandamnaji walipoanza juhudi za kutaka mabadiliko nchini humo mapema mwaka huu.

Wizara a ndfani ya Yemen inasema wanajeshi wa serikali walilazimika kufanya hivyo,baad aya waandamanaji kuwashmabulai wanajeshi wake na kuwajeruhi maafisa wake wanne.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.