MAREKANI-NASA-ROKETI-SAYANSI
Shirika la NASA larusha roketi angani kulifikia jua
Shirika la anga la Marekani Nasa, limerusha angani roketi kubwa inayofahamika kama Delta-IV, lengo likiwa ni kufika karibu na jua.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Roketi hiyo inayofahamika kama Parker Solar Probe imerushwa angani kutokea katika jimbo la Florida.
Wanasayansi wanasema ni roketi yenye kasi kubwa kuwahi kutenegzwa katika historia ya binadamu.
Operesheni hii inalenga kufamu taarifa zisizofahamika kuhusu jua na limeigharibu serikali ya Marekani Dola Bilioni 1.5.