Pata taarifa kuu

Marekani imeirejesha Mauritania kwenye mpango wa AGOA

Marekani imesema itarejesha nchi ya  Mauritania kwenye mpango wa kibiashara kati yake na bara Afrika (Agoa) kufuatia tathmini ya ustahiki.

Washington ilisitisha manufaa ya kibiashara mwaka wa 2019 kufuatia wasiwasi juu ya ukiukaji wa haki za wafanyikazi nchini Mauritania
Washington ilisitisha manufaa ya kibiashara mwaka wa 2019 kufuatia wasiwasi juu ya ukiukaji wa haki za wafanyikazi nchini Mauritania REUTERS - LEAH MILLIS
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.