Pata taarifa kuu
AFRIKA

Viongozi wa Afrika wataka hatua zaidi kuchukuliwa kukabili janga la Covid-19

Viongozi mbalimbali wa Mataifa ya Afrika wamelalamikia ubaguzi wa utoaji chanjo za kupambana na virusi vya Corona, unaoneshwa na mataifa tajiri duniani.

João Lourenco, rais wa Angola.
João Lourenco, rais wa Angola. © Getty Images via AFP - POOL
Matangazo ya kibiashara

Wakitoa hotuba zao mbele ya viongozi wa dunia, kwenye Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakiongozwa na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, viongozi hao wametaka hatua zaidi kuchukuliwa kukabili changamoto hii.

Mpaka sasa ni chini ya asilimia mvilki ya watu barani Afrika ndio walipata chanjo kamili ya kupambana na virusi vya Corona, huku mataifa tajiri yakiendelea kujilimbikizia chanjo hizo.

Mbali na suala la Corona, mabadiliko ya tabia nchi na usalama yanazunguziwa pia kwenye mkutano huo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.