Pata taarifa kuu
NIGERIA-USALAMA

Watu 150 watoweka baada ya ajali ya boti nchini Nigeria

Zaidi ya watu 150 wametoweka baada ya boti lililokuwa limesheheni zaidi ya watu na mizigo kuzama kaskazini magharibi mwa Nigeria kwenye Mto Niger, viongozi wa eneo hilo wamesema, huku wakiongeza kwamba wote hao wamekufa maji.

Boti hiyo ilikuwa ikitokea katika jimbo la Niger (katikati) ikielekea katika jimbo la Kebbi (kaskazini). "Uwezo wa boti ulikuwa chini sana kwa idadi ya abiria 180 iliyokuwa imebeba," afisa wa kikosi ha majini Yusuf Birma amewaambia waandishi wa habari.
"Kwa wakati huu, watu 20 pekee ndio wamepatikana wakiwa hai, 4 wamekufariki dunia na 156 waliobaki bado hawajapatikan na labda wako chini ya maji," amesema. "Ilikuwa boti iliyotengenezwa kwa mbao na ni ya zamani ambayo ilikuwa katika hali mbaya". Boti hiyo ilikuwa ikielekea kwenye soko la jimbo jimbo la Kebbi na ilizama baada ya saa moja kutokana sehemu inakoegeshea, ameongeza Birma. Rais Muhammadu Buhari, akielezea ajali hii kama "ya kutisha", alitoa rambi rambi kwa familia, bila kutoa katika taarifa yake ripoti rasmi ya maafa hayo.
Ripoti za awali kutoka kwa serikali za mitaa ziliripoti kuhusu waathirika ishirini kati ya abiria wapatao 160, na wengine 140 walmetoweka. Boti hiyo pia ilikuwa imebeba shehena ya mifuko ya mchanga iliyochimbwa kutoka mgodi wa karibu wa dhahabu, amesema mkuu wa utawala wa Idara ya Ngaski katika Jimbo la Kebbi Abdullahi Buhari Wara.
Boti hiyo ilikuwa ikitokea katika jimbo la Niger (katikati) ikielekea katika jimbo la Kebbi (kaskazini). "Uwezo wa boti ulikuwa chini sana kwa idadi ya abiria 180 iliyokuwa imebeba," afisa wa kikosi ha majini Yusuf Birma amewaambia waandishi wa habari. "Kwa wakati huu, watu 20 pekee ndio wamepatikana wakiwa hai, 4 wamekufariki dunia na 156 waliobaki bado hawajapatikan na labda wako chini ya maji," amesema. "Ilikuwa boti iliyotengenezwa kwa mbao na ni ya zamani ambayo ilikuwa katika hali mbaya". Boti hiyo ilikuwa ikielekea kwenye soko la jimbo jimbo la Kebbi na ilizama baada ya saa moja kutokana sehemu inakoegeshea, ameongeza Birma. Rais Muhammadu Buhari, akielezea ajali hii kama "ya kutisha", alitoa rambi rambi kwa familia, bila kutoa katika taarifa yake ripoti rasmi ya maafa hayo. Ripoti za awali kutoka kwa serikali za mitaa ziliripoti kuhusu waathirika ishirini kati ya abiria wapatao 160, na wengine 140 walmetoweka. Boti hiyo pia ilikuwa imebeba shehena ya mifuko ya mchanga iliyochimbwa kutoka mgodi wa karibu wa dhahabu, amesema mkuu wa utawala wa Idara ya Ngaski katika Jimbo la Kebbi Abdullahi Buhari Wara. AFP
Matangazo ya kibiashara

Boti hilo ilikuwa ikitokea katika jimbo la Niger (katikati) ikielekea katika jimbo la Kebbi (kaskazini). "Uwezo wa boti ulikuwa chini sana kwa idadi ya abiria 180 iliyokuwa imebeba," afisa wa kikosi ha majini Yusuf Birma amewaambia waandishi wa habari.

"Kwa wakati huu, watu 20 pekee ndio wamepatikana wakiwa hai, 4 wamekufariki dunia na 156 waliobaki bado hawajapatikan na labda wako chini ya maji," amesema. "Ilikuwa boti iliyotengenezwa kwa mbao na ni ya zamani ambayo ilikuwa katika hali mbaya". Boti hiyo ilikuwa ikielekea kwenye soko la jimbo jimbo la Kebbi na ilizama baada ya saa moja kutokana sehemu inakoegeshea, ameongeza Birma. Rais Muhammadu Buhari, akielezea ajali hii kama "ya kutisha", alitoa rambi rambi kwa familia, bila kutoa katika taarifa yake ripoti rasmi ya maafa hayo.

Ripoti za awali kutoka kwa serikali za mitaa ziliripoti kuhusu waathirika ishirini kati ya abiria wapatao 160, na wengine 140 walmetoweka. Boti hiyo pia ilikuwa imebeba shehena ya mifuko ya mchanga iliyochimbwa kutoka mgodi wa karibu wa dhahabu, amesema mkuu wa utawala wa Idara ya Ngaski katika Jimbo la Kebbi Abdullahi Buhari Wara.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.