Habari RFI-Ki
Machafuko yanayoshuhudiwa katika nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati
Imechapishwa:
Cheza - 10:03
Kwa miezi kadhaa sasa nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya kati inashuhudia machafuko,waasi wakijaribu kuingia mji mkuu bangii kuipindua serikali ya rais Foustin Archange Toudera aliyechaguliwa tena mwaka uliopita.Msikilizaje unazungumziaje kinachotokea nchi ya jamuhuri ya Afrika ya Kati?Nini kifanyike kumaliza mzozo unaondelea?